DeepSeek: Kwanini programu hii ya AI imezua wasiwasi Marekani?

  • | BBC Swahili
    13,081 views
    Thamani ya hisa za makampuni ya teknolojia zimeshuka kwenye masoko ya hisa ya Asia kwa siku ya pili sasa, huku wawekezaji wakiendelea kushtushwa na hatua ya kuzinduliwa kwa programu mpya ya akili mnemba yenye gharama ya chini kutoka China, inayoitwa DeepSeek. #deepseek #ai #akilimnemba #bbcswahili #bbcswahilileo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw