Dhuluma ya wanafunzi | Trevor Mathenge alichapwa na polisi chuoni multimedia

  • | Citizen TV
    245 views

    Polisi wanasema wanaendelea na uchunguzi, siku tatu baada ya mwanafunzi wa chuo kikuu cha Multimedia Trevor Mathenge kudhulumiwa na maafisa wa polisi katika barabara ya Magadi hapa Nairobi. Kijana huyu alitandikwa na kudhulumiwa na maafisa wa polisi kwenye kisa hicho kilichoshuhudia kuteketea kwa bweni la wanafunzi.