Wakenya kuzuru mbuga za kitaifa za wanyama pori bila malipo siku ya Jumamosi

  • | KBC Video
    4 views

    Mtazamaji utaweza kuzuru mbuga za kitaifa za wanyama pori za humu nchini bila malipo siku ya Jumamosi tarehe 28 mwezi huu. Mpango huo ni sehemu ya sherehe za Umoja wa Mataifa za Siku ya Utalii ulimwenguni na pia ni mbinu ya kuhamasisha kuhusu utalii wa nyumbani. Taarifa hii kwa kina ni kwenye kitengo chetu cha habari za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive