Douglas Kanja amekula kiapo kuwa Inspekta Mkuu wa polisi nchini

  • | Citizen TV
    506 views

    Douglas Kanja amekula kiapo leo kama inspekta jenerali wa polisi katika hafla iliyofanyika ikulu ya Nairobi huku Rais William Ruto akimtaka kuhakikisha uhuru wa idara ya polisi