- 314 viewsDuration: 2:01Waziri wa Afya Aden Duale ametoa wito kwa mataifa ya bara Afrika kulainisha kanuni na sheria zao ili kutoa nafasi kwa nchi za Afrika kujitengenezea dawa na chanjo. Duale amesema kuwa hatua hiyo itahakikisha kuwa bara afrika halitegemei mataifa mengine kwa ununuzi na misaada ya dawa na chanjo.waziri Duale aliyasema hayo alipokuwa akifungua rasmi kongamano la siku tano la ubora wa dawa barani afrika huko Mombasa.