EACC imetoa tahadhari kuhusu unyakuzi wa ardhi kaunti ya Nakuru

  • | Citizen TV
    427 views

    Chama cha madaktari kaskazini mwa bonde la ufa kimetoa ilani ya wiki moja kwa serikali ya kaunti ya Nandi kuwalipa madaktari 19 mishahara ya mwezi wa tatu na mwezi nne baada ya mishahara yao kusimashiwa kufuatia mgomo ulioshuhudiwa kote nchini.Wakiongozwa na katibu wa chama hicho eneo la kaskazini mwa bonde la ufa Dkt Kamozi mulee, madaktari hao wamesema kuwa wanaidai kaunti ya nandi jumla ya shilingi milioni 7.Kulingana na Kamozi kaunti ya nandi ina jumla ya madkitari 70 ambao hawajapokea marurupu yao ya shilingi elfu 20 kwa mwezi.