- 2,908 viewsDuration: 2:23Maafisa wa Trafiki nchini wameendelea kusalia kifua mbele kwenye ufisadi nchini huku ripoti ya tume ya kupambana na ufisadi ya EACC ikionyesha namna wanavyozoa pesa barabarani kinyume na sheria. Aidha, ripoti hii imeonyesha namna wakuu wa trafiki nchini wanavyokusanya ada za kila siku kwa ushirikiano wa vyama vya matatu na wahudumu wa bodaboda