13 Nov 2025 1:38 pm | Citizen TV 340 views Duration: 1:30 Tume ya kupambana na ufisadi EACC imemkabidhi Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja ripoti ya ufisadi na utendakazi wa maafisa wa polisi.