Fahamu umuhimu wa kufunga mwezi wa Ramadhan

  • | BBC Swahili
    269 views
    Waumini wa dini ya Kiislam wameanza rasmi mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Ni mwezi wa tisa katika kalenda ya Kiislamu na pia ni nguzo ya tano katika dini ya Uisilamu ambayo ndani yake kuna kufunga ama swaum. Umuhimu wa mwezi huu wa Ramadhani ni upi, na kufunga kunaleta faida gani?