Familia inamtafuta kijana aliyepigwa risasi na polisi

  • | Citizen TV
    1,298 views

    Takriban miezi mitatu baada ya maandamano ya vijana yaliyoshuhudiwa nchini, familia ya Peter Macharia bado haijampata mpendwa wao aliyekuwa mmoja wa wale waliopata majeraha ya risasi wakati wa maandamano jijini. Mamake Macharia anasema licha ya juhudi zake kuzuru hifadhi za maiti, hospitali na vituo vya polisi hajampata mwanawe.