Familia Kitengela inaomboleza kifo cha mwana wao wa umri wa miaka 32 aliyeuawa na mumewe

  • | K24 Video
    45 views

    Familia huko Kitengela inaomboleza kifo cha mwana wao wa umri wa miaka 32 aliyeuawa kinyama na mumewe baada ya ugomvi wa kinyumbani. Familia hiyo sasa imetoa wito kwa idara ya usalama kuharakisha uchunguzi kuhusu mauaji hayo ili mwana wao Lucy Wamabui Mathenge apate haki. Mshukiwa wa mauaji, David Njoroge angali anasakwa.