Familia Likoni yamuomboleza jamaa yao aliyeuawa kwenye maandamano ya vijana mwezi Juni

  • | Citizen TV
    957 views

    Sherehe za krismasi kwa familia moja eneo la Likoni zilikuwa tofauti, ikiwa ni miezi sita baada ya jamaa yao kuuwawa kwenye maandamano ya vijana mwezi Juni. Kwa familia ya Joash Ombati, mengi yamepita muda huu huku ahadi zilizotolewa kwa familia zikisalia tu ahadi.