- 2,993 viewsDuration: 2:44Familia mbili katika eneo la Kaputir, huko Turkana South zinaomboleza na kudai haki baada ya jamaa zao wawili waliokuwa maafisa wa polisi wa akiba -KPR- wanadaiwa kuuwawa na wanajeshi wa KDF walioko katika kambi ya Loyapat.