Familia moja ilipoteza watu watano kwenye ajali Budalangi

  • | Citizen TV
    351 views

    Familia moja huko Budalangi ambayo iliwapoteza watu watano kwenye ajali ya barabarani inahangaika kupanga mazishi ya wapendwa wao na matibabu ya walionusurika kifo