Familia moja Karatina yalilia haki ya mwana wao aliyejeruhiwa katika maandamano ya nane nane

  • | Citizen TV
    270 views

    Familia moja mjini karatina kaunti ya Nyeri inalilia haki baada ya mwanawao kupigwa risasi na kujeruhiwa wakati wa maandamano ya 'nane nane' wiki jana. kulingana na familia, Wycliff Thiong'o anayepokea matibabu katika chumba cha icu katika hospitali ya Kenyatta hapa nairobi alipigwa risasi alipokuwa akitoka kazini.