Familia moja kutoka eneo la Mambrui kaunti ya Kilifi kwa mwezi wa sita sasa wanamtafuta jamaa yao

  • | Citizen TV
    382 views

    Familia yake mambrui kaunti ya Kilifi yataka majibu, Omar alitoweka tangu mwezi agosti mwaka jana familia inasema ilipata simu na leseni yake ya udereva ni mwezi wa sita tangu alipotoweka dereve huyu