Mgomo wa maafisa tabibu umeanza rasmi hii leo huku matabibu katika hospitali zote wakiweka ala zao

  • | Citizen TV
    381 views

    Maafisa tabibu wagoma kote nchini wanadai kubaguliwa kwenye bima ya SHA wameahidi kutorejea kazini hadi wasikizwe