Hivi ndivyo wafungwa wa Kipalestina walivyoungana na ndugu zao

  • | BBC Swahili
    244 views
    Wafungwa 90 wa Kipalestina wameachiliwa huru kama sehemu ya awamu ya kwanza ya usitishaji mapigano, wengi wao wakiwa wanawake. Awali Hamasi waliwaachilia wanawake watatu wa Israel waliokuwa wanashikiliwa mateka kabla ya wafungwa hao tisini pia kuachiliwa #bbcswahili #Gaza #palestina Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw