Familia moja Mogotio inafuga Mburukenge na Kobe

  • | TV 47
    15 views

    Familia moja Mogotio inafuga Mburukenge na Kobe.

    Familia Inasema ilipata kibali kutoka kwa KWS.

    Shughuli hii imewanufaisha pakubwa maishani.

    Walianza na ufugaji wa kobe, kisha mburukenge.

    Wana mburukenge mia moja na kobe mia tano.

    Wanasema Jamii iliwachukulia kama wachawi.

    Wanapata soko la kimataifa na nchini pia.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __