14 Nov 2025 2:13 pm | Citizen TV 162 views Duration: 1:59 Familia Moja eneo la Timau mpakani mwa kaunti za Laikipia na Meru inaililia tume ya Ardhi nchini kutatua mzozo wa umiliki wa ardhi ya ekari 70 uliopo baina Yao na serikali ya kaunti ya Meru.