Skip to main content
Skip to main content

Familia ya mlinzi aliyeuwawa akiwa kazini Eneo Bunge la Tongaren yadai haki

  • | Citizen TV
    1,170 views
    Duration: 1:23
    Familia ya mlinzi aliyeuwawa akiwa kazini eneo bunge la Tongaren, Bungoma imeelezea kutoridhishwa na jinsi idara ya upelelezi inavyoendeleza uchunguzi kufuatia mauaji hayo ya kinyama.