- 5,434 viewsDuration: 2:12Familia ya marehemu Mathew Kyalo Mbobu imekumbwa na mshtuko kufuatia mauaji ya wakili huyo aliyepigwa risasi na kuuwawa kwenye barabara ya langata kuelekea magadi siku ya jumanne . Familia hiyo sasa inataka uchunguzi kufanywa kwa haraka na haki itendeke kwa mwana wao ambaye wamemtaja kama wakili shupavu kama