Familia za waathiriwa wa hospitalini Makadara zadai kaunti haijawajibika

  • | Citizen TV
    510 views

    Familia tatu zilizopoteza wapendwa wao Makadara

    Watu hao walifariki baada ya mitambo ya oksijeni kufeli

    Serikali ya kaunti iliahidi kusaidia familia za waathiriwa