Feri MV Uhuru 11 imeanza safari ya kwanza kuelekea Uganda

  • | Citizen TV
    2,695 views

    Meli ya kwanza iliyotengezwa hapa nchini leo iling'oa nanga kutoka bandari ya Kisumu, ikiwa na sheheni ya mizigo kuelekea taifa jirani la Uganda. Meli ya MV Uhuru 2 iliyopokezwa rasmi wizara ya uchukuzi, inatarajiwa kuimarisha usafiri katika ziwa Viktoria na kuimarisha uhusiano wa kibiashara katika ukanda wa magharibi,