Skip to main content
Skip to main content

Gachagua ajipigia debe 2027, amkosoa Rais Ruto

  • | Citizen TV
    383 views
    Duration: 1:16
    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anasema kuwa kampeni yake ya kuwania Urais haitakuwa ya ahadi hewa, bali itaegemea ukweli wa hali ya nchi akiapa kuimarisha uchumi kwa kufuata nyayo za Hayati Rais Mwai Kibaki. Gachagua pia amesema kuwa kauli ya Rais William Ruto kuhusu kiwango chake cha elimu ni mfano wa kiburi kisichofaa mbele ya Wakenya. Alikuwa akizungumza katika kaunti ya Nyeri