Gachagua aonya dhidi ya siasa za migawanyiko

  • | KBC Video
    126 views

    Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua sasa anawataka wakazi wa eneo la mlima Kenya wajihadhari na majaribio ya kuligawanya eneo hilo lenye kura nyingi kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.Akiongea wakati wa mazishi ya mwana wa kiume wa aliyekuwa seneta wa kaunty ya Embu Lenny Kivuti, Gachagua alisisitiza kwamba nguvu ya eneo hilo iko kwenye umoja wake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive