Gachagua aunda kikosi cha mawakili 20 wakiongozwa na Paul Muite kumtetea bungeni

  • | Citizen TV
    5,756 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua Ameunda Kikosi Cha Mawakili 20 Wakiongozwa Na Paul Muite Watakaomtetea Kukabiliana Na Hoja Ya Kumtimua Ofisini. Mawakili Hao Tayari Wanasema Watapinga Mchakato Wa Kuchukua Maoni Kutoka Kwa Wananchi, Wakisema Muda Uliotolewa Kwa Shughuli Hiiyo Hautoshi Kwa Wakenya Wote Kujieleza.