Gachagua Aungana Na Malala Na WamalwaKwa Mashambulizi Dhidi Ya Serikali Ya Kenya Kwanza

  • | TV 47
    401 views

    Gachagua Aungana Na Malala Na WamalwaKwa Mashambulizi Dhidi Ya Serikali Ya Kenya Kwanza

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua na Kinara Wa Chama Cha DAPK Eugene Wamalwa wameendeleza mashambulizi yao dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza kuhusu utekaji nyara unaoripotiwa kila uchao nchini.

    Wakizungumza nyumbani kwa Aliyekuwa Katibu Wa UDA Cleophas Malala Kaunti Ya Kakamega viongozi hao wametishia kuongoza maandamano mapema mwaka ujao iwapo serikali haitasitisha visa hivyo vya utekaji nyara.

    #TV47Wikendi #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __