Gachagua kujua hatma yake Alhamisi wiki ijayo

  • | Citizen TV
    2,901 views

    Hatma Ya Naibu Rais Rigathi Gachagua Itajulikana Wiki Ijayo Alhamisi. Bunge La Seneti Liameagiza Vikao Maalum Kunadaliwa Jumatatu Hadi Alhamisi Kujadili Hoja Hiyo Baada Ya Maseneta Kutupilia Mbali Pendekezo La Kuundwa Kwa Kamati Ya Maseneta Kumi Na Moja Kushughulikia Suala Hilo. Spika Wa Bunge La Seneti Amason Kingi Amewataka Maseneta Kuwa Na Makini Wakati Wa Zoezi Hilo