Gavana Wa Bomet Hillary Barchok Akemewa Na Umma Huko Bomet Mbele Ya Rais Ruto

  • | TV 47
    1,670 views

    Gavana Wa Bomet Hillary Barchok Akemewa Na Umma Huko Bomet Mbele Ya Rais Ruto

    Rais Willliam Ruto leo amezuru Kaunti Ya Bomet ambapo alihudhuria ibada ya kanisa katika kanisa la AIC Konoin kisha baadae kufanya misururu ya hotuba za umma.

    Akiwa katika ziara hiyo, Gavana Wa Bomet Hillary Barchok alijipata pabaya baada ya wakazi kumfokea vikali

    #TV47Wikendi #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __