3 Nov 2025 11:04 am | Citizen TV 536 views Duration: 56s Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu ameelezea matumaini kuwa ukusanyaji ushuru katika soko jipya la mifugo la Mulot utafika shilingi elfu 150 kwa siku.