Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya aanza kufufua miradi ya maendeleo iliyokwama eneo hilo

  • | Citizen TV
    1,683 views

    Serikali ya kaunti ya Trans-Nzoia, imeanza kufufua miradi ya maendeleo iliyokwama eneo hilo. Gavana George Natembeya akizindua ujenzi wa uwanja wa Kenyatta utakaogharimu takribani shillingi millioni mia tisa kukamilika.