- 6,974 viewsDuration: 2:55Wiki mbili kabla ya chaguzi ndogo kufanyika maeneo 24 nchini, visa vya ghasia vimeendelea kuripotiwa kwenye kampeni. Katika eneo la kasipul, maafisa wa polisi walifika nyumbani kwa mwaniaji wa ODM Boyd Were na kuwakamata washukiwa wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya watu wawili wiki jana. Maafisa watatu walijeruhiwa wakati wa makabiliano hayo