- 875 viewsDuration: 1:11Winrose Muukula: Nimefurahishwa sana na mradi huu wa umeme. Tulikuwa tunaishi gizani kabisa, lakini sasa kila kitu kimebadilika. Hata mpango wa kuchaji simu hutufurahisha. Kila kitu kinafanya kazi vizuri - hata hapa jikoni, hakuna giza tena. Sasa tuna umeme. Tunaishukuru serikali kwa kuleta mradi huu kijijini kwetu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News #RuralElectrification