Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa wito wa kusitishwa kwa vita vya Darfur nchini Sudan akisisitiza haja ya mazungumzo ya pamoja.Huku uhuru wa taifa la Sudan ukiendelea kudidimizwa na utegemezi wa msaada wa kijeshi kutoka nje, Guterres anahofia hatua hiyo huenda ikazidisha umwagikaji damu na kupotea kwa maisha.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive