'Habari njema ni kwamba... kwa hakika ina usawa zaidi kwa wasichana...'

  • | VOA Swahili
    536 views
    Ripoti iliyotolewa Alhamisi na Idara ya Umoja wa Mataifa kuhusu haki za wanawake na usawa wa jinsia kwa upande chanya ripoti imesema kiasi cha asilimia 88 ya nchi zimepitisha sheria za kupambana dhidi ya wanawake na kuweka huduma za kuwasaidia waathirika kwa muda wa miaka mitano iliyopita. Sikiliza maelezo zaidi kuhusu hatua zilizochukuliwa na nchi mbalimbali... #ripoti #un #haki #wanawake #wasichana #sheria #ukandamizaji #huduma #waathirika #voa #voaswahili