Hafla ya mazishi yakatizwa kirinyaga wanasiasa wabishana na askofu mazishini

  • | Citizen TV
    1,301 views

    Hafla ya mazishi ya watoto watatu huko kirinyaga, iligeuka na kuwa uwanja wa mabishano baada ya askofu simon munene kuwazuia wanasiasa kuzungumzia siasa katika mazishi hayo. Mambo yaliharibika pale mwakilishi wa kike wa kirinyaga, njeri maina, alipokaidi agizo hilo na kuzungumzia masuala yaliyohusu bima ya sha. Hali hiyo ilipelekea, askofu kumnyang’anya kipaza sauti, jambo lililosababisha makabiliano kuzuka.