Hafla ya uapisho wa Rais wa Marekani Donald Trump

  • | BBC Swahili
    14,752 views
    Rais Donald Trump ameapishwa kuwa rais wa 47 wa Marekani, Januari 20,2023 Hafla ya uapisho ilitanguliwa na maonesho ya muziki na hotuba ya ufunguzi kwenye jukwaa kuu lililopo kwenye majengo ya bunge la Marekani. Kisha itafuatiwa na kuapishwa kwa Trump na makamu wa rais JD Vance pamoja na hotuba ya kuapishwa. #bbcswahili #Marekani #donaldtrump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw