Hali ya CBC nchini: Mtaala wa CBC ulianza mwaka wa 2017

  • | Citizen TV
    260 views

    Serikali ilianza mtaala wa CBC mwaka wa 2017 baada ya miongo mitatu ya mfumo wa 8-4-4 kutumika humu nchini. Mabadiliko hayo yaliibua hisia mseto haswa kufuatia kujumuishwa kwa sekondari msingi kwenye shule za msingi. Hata hivyo, serikali imegharamia ujenzi wa miundombinu katika shule hizo, ila shule za kibinafsi zinasifiwa kuwa na miundo bora zaidi ikilinganishwa na shule za umma.