Hali ya huzuni imetanda katika eneo la Lurambi kaunti ya Kakamega baada ya pacha wawili kufa

  • | Citizen TV
    6,643 views

    Hali ya huzuni imetanda katika kijiji cha Bushibo, pacha wawili waliteketea hadi kufa nyumbani kwao. Chanzo cha moto huo bado hakijulikani