Harambee Stars Wamekita Kambi Shuleni Mpesa Foundation Kujiandaa Kwa Michuano Ya Mapinduzi Cup

  • | TV 47
    10 views

    Harambee Stars Wamekita Kambi Shuleni Mpesa Foundation Kujiandaa Kwa Michuano Ya Mapinduzi Cup

    Timu ya taifa ya soka nchini, Harambee Stars, imekita kambi katika chuo ya mpesa foundation huku wakizidi kujiandaa kwa michuano ya Mapinduzi Cup inayon’goa nanga tarehe 3 Januari nchini Zanzibar

    Kikosi hiki cha wachezaji 37 kinaongozwa na kocha mkuu Francis Kimanzi, wakizidi kujitayarisha kwa michuano ya CHAN ya mwaka ujao ambayo itaandaliwa mwezi wa Februari, nchini Kenya, Uganda na Tanzania.

    #TV47Wikendi #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __