Hassan Joho atetea uhusiano wake na Rais Ruto

  • | K24 Video
    200 views

    Waziri mteule katika wizara ya madini na uchumi samawati Ali Hassan Joho, alijipata kikaangoni kuhusiana na masomo yake. Joho aliyesailiwa hii leo alilazimika kuelezea utata kuhusiana na masomo yake na alivyofuzu na shahada licha ya kupata alama ya D-