Hatimaye Kaunti ya Nairobi yaafikiana na Kenya Power

  • | KBC Video
    151 views

    Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja amesikitikia tukio la umwagaji rundo la taka katika makao makuu ya kampuni ya Kenya Power yaliyoko katika jengo la Stima Plaza, eneo la Ngara, kaunti ya Nairobi akisema halikufaa na kwamba switofahamu hiyo linashughulikiwa. Kwenye kikao na wanahabari katika jumba la City Hall, Sakaja alisema kwamba serikali ya kaunti na kampuni ya Kenya Power zimeafikiana kuhusu mzozo uliopo wa malipo ya madeni kufuatia mkutano na waziri wa kawi Opiyo Wandayi na mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive