Hatma ya maelfu ya wanafunzi yasalia njia panda

  • | Citizen TV
    96 views

    Hatma ya maelfu ya wanafunzi wanaotegemea msaada wa karo kutoka kwa serikali za kaunti haijulikani, huku mzozo kati ya magavana na msimamizi wa bajeti, Margaret Nyakango, ukiendelea