Hospitali za kibinafsi zasitisha huduma za SHA kutokana na madeni ya serikali

  • | NTV Video
    72 views

    Hospitali za kibinafsi zimesitisha huduma chini ya bima ya SHA. Hatua hii inafuatia tishio la mwenyekiti wa muungano wa hospitali hizo awali kwamba serikali bado haijalipa malimbikizi ya takriban bilioni 30 ya mfumo uliotupiliwa mbali wa NHIF.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya