Huduma za afya Baringo : Maafisa tabibu waendelea na mgomo

  • | KBC Video
    2 views

    Maafisa tabibu katika kaunti ya Baringo wamegoma kulalamikia kile wanachodai kuwa mazingira duni ya kazi. Huduma za matibabu zimeathiriwa katika vituo-148 vya afya huko Baringo kutokana na mgomo huo ulioanza tarehe-7 mwezi huu. Wakiongozwa na mwenyekiti wao, Francis Chelobei, maafisa hao tabibu wamelalamika kuhusu uhaba wa wahudumu wa afya na kutopandishwa vyeo. Maafisa hao tabibu wameapa kuendelea na mgomo wao hadi matakwa yao yatakaposhughulikiwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive