Huduma Za Afya Katika Hospitali Binafsi Zatatizika Baada Ya Kusitisha Kupokea Bima Ya SHA

  • | TV 47
    7 views

    Huduma Za Afya Katika Hospitali Binafsi Zatatizika Baada Ya Kusitisha Kupokea Bima Ya SHA

    Shughuli za matibabu zimetatizika katika hospitali za kibinafsi nchini baada ya muungano wa hospitali binafsi kusitisha huduma za afya chini ya mpango wa bima ya afya; SHA.

    Katika kaunti ya Bungoma wagonjwa waliofika walilazimika kutumia pesa taslimu au bima zingine.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __