Tume ya uchaguzi na mipaka humu nchini-IEBC imesema itahahakikisha chaguzi ndogo zijazo zitakuwa huru, wazi na zinazodumisha amani. Akiongea jijini Nairobi, mwenyekiti wa tume ya IEBC Erustus Ethokon aliwahimiza wahusika wote kuzingatia maadili, akisema tume hiyo haitaridhia vitendo vyovyote vya uvunjaji sheria. Chaguzi hizo zitaandaliwa katika maeneo bunge sita, wadi-16 na kwenye kaunti moja. Timothy Kipnusu anatuarifu zaidi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive