Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu china /Kumkumbuka Confucius

  • | KBC Video
    52 views
    Duration: 3:01
    Mji wa Qufu, ambao ni nyumbani kwa Confucius ulioko mkoa wa Shandong mashariki mwa China, uliandaa sherehe kwa njia ya mtandaoni na ana kwa ana Jumapili kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 2,576 tangu kuzaliwa kwa mwanafalsafa huyo wa kale. Sherehe hiyo, iliyochanganya heshima za kale na za kisasa, iliwavutia washiriki kutoka China na mataifa mengine kutoa heshima kwa mtu aliyepewa jina “mwalimu wa nyakati zote".Taswira Kamili ni katika Makala ya ifahamu China Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive