Ifahamu China: Soko La Nyumba China

  • | KBC Video
    4 views

    Mwishoni mwa mwaka-2024, soko la nyumba katika miji ya daraja la kwanza nchini China lilishuhudia ongezeko la mwaka baada mwaka la mauzo ya nyumba mpya. Mwelekeo huu umeendelea mwanzoni mwa 2025, ukidhihirisha kuimarika kwa imani katika sekta ya nyumba na matarajio chanya kuhusu sera za serikali. Maelezo zaidi ni katika makala yetu kuhusu Ifahamu China

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive